Shambulia! Beba silaha
Pigana mpaka mwishowe
Kwa nchi yetu tutaunguza damu yoyote
Rudi kwa pambaja ya dunia
Ushujaa waangaza mbingu na ardhi
Mara tena ashinda Natlan
Milele tuwangoje, na tutawaimbia
Rudini ndugu, rudini mashujaa
Mara ya tena mwangani
Kumbukeni majina ya mashujaa
Andameni uwanjani
Rudini tunawangojeni
Nyimbo kelele sana
Sikiliza zitakuongoza nyumbani
Ushujaa waangaza mbingu na ardhi
Mara tena ashinda Natlan
Milele tuwangoje, na tutawaimbia
Rudini ndugu, rudini mashujaa
Mara ya tena mwangani
Maisha marefu ni sasa